COVID-19 na mama mjamzito
Dr Imani Kondo, Daktari bingo wa magonjwa ya akina mama anajibu maswali na kuzungumzia juu ya chanjo ya covid na akina mama wajawazito.
Webinar hizi za Covid Awareness zimedhamioiwa na The National Lottery Community Fund, UK

COVID na afya ya mama a mtoto - YouTube
Dr Kondo akizungumza juu ya maendeleo ya chanjo ya COVID kwa akina mama wajawazito na wanaonyonyesha. Ni kipindi cha maswali na majibu.Ni ufuatilizi wa vipin...
Related Posts
Comments
No comments made yet. Be the first to submit a comment
By accepting you will be accessing a service provided by a third-party external to https://www.tuheda.com/